Bendi ya TOT
ikiburudisha wananchi na wafuasi wa CCM waliojitokeza katika mkutano huo
mjini Igunga.
Hili ndilo eneo la
Viwanja vya Sokoine mahali ambapo CCM watazindulia kampeni zao leo,
mahali hapa, pia CHADEMA walipatumia katika uzinduzi wa kampeni zao siku
ya Ijumaa iliyopita kama unavyoona pakiwa pamepambwa bendera za rangi
za kijani na njano.
Baadhi ya wafuasi wa
chama cha Mapinduzi CCM wakishuka kwenye Roli lililowaleta katika
mkutano wa kampeni wa Peter Kafumu mgombea ubunge kupitia chama hicho
katika jimbo la Igunga, ambapo leo ndiyo uzinduzi rasmi wa kampeni kwa
chama cha Mapinduzi (CCM), mkutano utafanyika katika viwanja vya Sokoine
mjini Igunga.
Chanzo: full shangwe Blog






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)