Hapa ndio palee!! ambapo
paliandikwa Lugha gongana panavyoonekana kwa sasa.
Hii ndio picha iliyotolewa
kabla ya wadau wa uwanja kuyafuta maandishi haya, kama panavyoonekana
kwenye picha ya kwanza.
KAPINGAZ Blog
inawapongeza sana wahusika wa Uwanja wa ndege wa Kigoma kwa kulifanyia
kazi tatizo hili la "LUGHA GONGANA" ingawa ingekua vema kama wangeandika
tena yakiwa yamerekebishwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)