Mchezaji wa kulipwa Nizar Khalfan amkabidhi jezi Rais kikwete Ikulu jijini dar. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mchezaji wa kulipwa Nizar Khalfan amkabidhi jezi Rais kikwete Ikulu jijini dar.



Mtanzania anayecheza Soka ya kulipwa katika timu ya White Caps ya jijini Vancouver Canada Nizar Khalfan akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Kikwete jezi ya timu yake wakati alipokwenda kumsalimu na kumshukuru ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
(picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages