Alexia Williams Mshindi Wa Vodacom Miss Personality 2011 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Alexia Williams Mshindi Wa Vodacom Miss Personality 2011

Mrembo Alexia Williams akipozi mbele ya washiriki wenzake wa Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndie mshindi wa Vodacom Miss Personality na kupata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika September 10 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Tayari warembo wengine wa nne wameshafanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali.
Mrembo Alexia Williams akibebwa na wenzake wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 baada ya kutajwa kuwa ndie mshindi wa Vodacom Miss Personality na kupata tiketi ya kuingia nusu fainali ya Vodacom Miss Tanzania itakayofanyika September 10 mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Tayari warembo wengine wa nne wameshafanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali. (
Warembo wanne kati ya 30 wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 waliopata kura nyingi za shindano la Vodacom Miss Personality wakipozi kwa picha baada ya kutangazwa. Kutoka kulia ni Dalilla Ghalib, Maua Kimambo, Alexia William na Cynthia Kimasha. fainali za Vodacom Miss Tanzania 2011 zitafanyika Septemba 11, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Picha na Mpigapicha wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages