MBUNGE WA VITI MAALUMU MBEYA MARY MWANJELWA AZIDI KUMWAGA MISAADA MKOANI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MBUNGE WA VITI MAALUMU MBEYA MARY MWANJELWA AZIDI KUMWAGA MISAADA MKOANI MBEYA

Mbunge wa viti maalum mkoani Mbeya Dk Mary Mwanjelwa akimshangaa mtoto aliyejifungua akiwa na umri mdogo wa miaka 16 na kuachishwa shule, Hivyo ameitaka Sekta ya Elimu kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaosababisha wanafunzi wa kike kukatisha masomo baada ya kupata mimba.
Katikati ni Kaimu Mganga mkuu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Dk Yessayah Mwasubila ambaye pia ni Mratibu wa kitengo cha UKIMWI (CTC), akimpa maelezo ya Hospitali hiyo Dk Mwanjelwa.
Hawa ni Wauguzi wa Hospitali hiyo ya wilaya wakishuhudia kupokelewa kwa magodoro 57 kwa ajili ya wadi ya Wazazi na watoto iliyotolewa na Mbunge wa viti maalum Dk Mwanjelwa.
Wa pili kushoto mwenye suti ya kijivu ni Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya Mbozi Bwa Levson Chilewa akishukuru mara baada ya kupokea shehena ya Magodoro.
Muuguzi Bi Monica Nsangu licha ya kustaafu lakini anaipenda kazi hiyo ameamua kuendelea kusaidia kutoa huduma.Picha Na Mbeyayetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages