Akina Mama wakishangilia ujio wa
Mtetezi wao Dk Marry Mwanjelwa ambaye ni Mbunge wa Viti maalum
Dr Marry akisalimiana na mmoja wa
madaktari wa Hospitali ya Rufaa Meta.
Dr Marry akipata maelezo mafupi ya
ujio wake katika Hospitali ya Meta.
Dr Marry akisalimiana na akina Mama
wajawazito katika Kituo cha Afya Mwanjelwa
Dr Marry Mwanjelwa akipewa utaratibu
na maelezo kutoka kwa Muuguzi mata baada ya kutembelea wodi la akina
Mama Wajawazito.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)