LINDA NA LUCY NDANI YA WESTMINISTER - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LINDA NA LUCY NDANI YA WESTMINISTER

wawakilishi wetu wakipeperusha bendera ya Tanzania ndani ya westminister.
Mh Balozi Peter Kallaghe Katika picha ya pamoja Linda na Lucy
speaker of house of commons.
Linda Kapinga,Lucy Minde na mwakilishi wa Malawi [Heather Maseko] na walinzi,nje ya nyumba ya speaker wa bunge,walipoalikwa kwa Networking Dinner
 
DR. Shija na Wawakilishi Wetu
linda akiwa kazini
Linda Kapinga na Lucy Minde Wawakilishi wa Bunge la vijana wa CommonWealth

Urban Pulse Creative inakuletea matukio katika picha ya wawakilishi wetu kutoka Tanzania ndani ya Bunge la Vijana (YOUTH COMMONWEALTH PARLIAMENT) lililofanyika kuanzia tarehe 6-10 Septemba 2011. Tanzania Iliwakilishwa kutoka kwa Linda kapinga pamoja na  Lucy Minde. 


Motto wa Mkutano huu ulikuwa Mabadiliko ya Mazingira
Mbali na kupata fursa ya kukutana na wawakilishi wengine kutoka kwenye nchi mbalimbali za jumuiya ya Madola pia walikaribishwa kupata chakula cha pamoja  kutoka katika nyumba wa spika wa House of Commons John Bercow
Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages