Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya picha yenye Taswara ya
mjini wa Zanzibar, Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa
Sweden, Gunilla Carlsson, wakati Makamu alipofika Ofisini kwa waziri
huyo jijini Stockholm Sweden kwa mazungumzo juzi.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)