Eve E awasili jijini Nairobi tayari kwa show - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Eve E awasili jijini Nairobi tayari kwa show


Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Eve E akiwasili mapema leo asubuhi kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta,jijini Nairobi,Kenya akiwa amepokelewa na mwenyeji wake kutoka kampuni ya Prime Time Promotions Ltd kutoka Tanzania,Bwana Balozi Kindamba (shoto) na kulia ni mmoja wa wanausalama wa Eve E,Ujio wa Mwanamuziki huyo anaungana na wanamuziki wengine akiwemo Shaggy,Cabo Snoop pamoja na nyota wa Tusker All Stars Peter Msechu,Davis pamoja na Alpha wanaotarajiwa kutumbuiza kwenye jukwaa moja hapo kesho (jumamosi) kwenye viwanja vya Carnivo jijini Nairobi ndani ya tamasha la
Tusker All Stars 2011.Kwa Hisani Ya Father Kidevu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages