LUGHA GONGANA NDANI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LUGHA GONGANA NDANI YA UWANJA WA NDEGE WA KIGOMA


Hapo ndio mlango wa kuingia katika uwanja wa Ndege wa Kigoma ukisoma hayo maandishi utajua kinachoendelea ni nini! 
 
Wazungu wenyewe hawana tabu washakielewa kilichoandikwa wana furaha tele wakijiandaa kuingia. 
 
KAPINGAZ Blog inawaomba wahusika wa Uwanja huu warekebishe hayo maneno hapo wanajiaibisha na pia wanauaibisha uwanja huo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages