KIZUNGUMKUTI CHA AJALI YA MOTO WENYE UTATA BAR YA OMEGA JIJINI MBEYA , MTEJA MMOJA AFARIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KIZUNGUMKUTI CHA AJALI YA MOTO WENYE UTATA BAR YA OMEGA JIJINI MBEYA , MTEJA MMOJA AFARIKI


 Moto wenye utata umeteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.Marehemu amekaa chumba hicho kwa muda wa siku mbili na alikuwa anadaiwa shilingi elfu hamsini ya bili ya vinywaji. Balozi wa mtaa wa Ilolo Bwana Lukomano Mwakatobe amesema ni tukio la pili kwani kwa mwaka uliopita Mwalimu wa Shule ya Sekondari Sangu, marehemu Bernad Ndolela alifariki katika mazingira ya kutatanisha katika nyumba hiyo.
Mwili wa marehemu Ansen Mtono ukichukuliwa na Jeshi la Polisi baada ya kufariki dunia katika chumba cha Bar ya Omega   inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.
Mashuhuda waliofika eneo la tukio la Moto wenye utata ulioteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.
Jeshi la polisi mkoani Mbeya lenye nambari PT 0796 likiondoka na mwili wa marehemu Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia baada ya moto wa utata umeteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.

3 comments:

  1. Anonymous11:12 AM

    JAMANI MBEYA KUNANI MAANA MABALAA YOTE YA MOTO NI MBEYA VP HUKO EBU MRUDIE MUNGU MAANA NAONA AJALI MBEYA,MOTO MBEYA....IT SO SAD KWA KWELI

    ReplyDelete
  2. Anonymous11:14 AM

    MMMMHHHH INATISHA SASA MAANA NAONA HUKO MBEYA HALI SI SHWARI AU NDIO MWISHO WA MWAKA...POLENI WAKAZI WA MBEYA

    ReplyDelete
  3. Anonymous11:16 AM

    MMMMHHHH INATISHA SASA MAANA NAONA HUKO MBEYA HALI SI SHWARI AU NDIO MWISHO WA MWAKA...POLENI WAKAZI WA MBEYA

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages