KAPINGAZ DADAZ!! NDANI YA MSASANI BEACH CLUB USIKU wa kuamkia leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAPINGAZ DADAZ!! NDANI YA MSASANI BEACH CLUB USIKU wa kuamkia leo

Wadada wa KAPINGAZ Blog ndani ya sherehe ya kumpongeza Dada Rehema kwa kufanya maamuzi mazuri ya kuolewa. Sherehe hiyo ilifanyika leo usiku katika ukumbi wa Msasani Beach Club.
Mmependezaa!!

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages