The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mkoba wenye Sh milioni 25 kwa ajili ya waathirika wa ajali ya meli ya mv Spice Islanders - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mkoba wenye Sh milioni 25 kwa ajili ya waathirika wa ajali ya meli ya mv Spice Islanders

Mwakilishi wa Televisheni ya Emmanuel ya The Synagogue Church Of All Nations, Martha Harvey akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete mkoba wenye Sh milioni 25 kwa ajili ya waathirika wa ajali ya meli ya mv Spice Islanders iliyozama na kusababisha vifo vya mamia ya watu hivi karibuni. Mchango huo uliokabidhiwa Ikulu, Dar es Salaam, ulitolewa na Kiongozi wa Kanisa hilo, Nabii Themitope Balogun Joshua, ambaye anaishi makao makuu ya kanisa hilo Lagos, Nigeria. (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages