
Magufuli
akimnadi mgombea wa CCM Dk. Dalaly kushoto katika mkutano wa kampeni
uliofanyika katika mapokezi helkopta ya kampeni za CCM.

Magufuli
akitete jambo na mgombe ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk.
Dalaly Kafumu (kulia) kabla ya kuhutubia wakati waliofika katika
mapokezi ya helkopta ya kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini
Igunga leo. Kushoto ni Katibu wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba.

Waziri
wa Ujenzi John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye
Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga kupokea ndege ya kampeni za
CCM.Wengine ni Nchemba na Katibu wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah
Juma
Januari
Makamba akisalimia mamia ya wananchi waliofika katika mapokezi ya
helkopta ya kampeni za CCM ilipowasili leo asubuhi kwenye Uwanja wa
Sabasaba mjini.

ratibu
wa Kampeni za CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba
akimlaki Januari Makamba baada ya helkopta aliyokuja nayo kutua kwenye
Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga. Kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu
Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda.
Mamia ya watu katika uwanja wa sabasaba mjini Igunga katika mapokezi ya helkopta ya CCM.Picha Zote na Mdau Bashir Nkromo-igunga





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)