Mkuu
wa Wilaya ya Mbeya, Evance Balama akitoa heshima za mwisho kwa mwili
wa askari Polisi PC Meshack Urasa ambaye aliuawa kwa kupigwa na nondo
juzi Jijini Mbeya. Mwili wa marehemu ulisafirishwa leo kwenda nyumbani
kwao Machame mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Advocate Nyombi akitoa heshma za mwisho
kwa mwili wa askari Polisi PC Meshack Urasa ambaye aliuawa kwa kupigwa
na nondo juzi Jijini Mbeya. Mwili wa marehemu ulisafirishwa leo kwenda
nyumbani kwao Machame mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi
skari
Polisi wakitoa wakitoa heshma za mwisho kwa mwili wa askari mwenzao,
PC Meshack Urasa ambaye aliuawa kwa kupigwa na nondo juzi Jijini Mbeya.
Mwili wa marehemu ulisafirishwa leo kwenda nyumbani kwao Machame
mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya mazishi.Picha Zote na Venance Matinya





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)