Mwendesha
Baiskeli ya miguu mitatu, akiwa amebeba mzigo uliozidi uwezo wa usafiri
wake na kukatiza katika barabara ya Mandera huku akipishana na magari
jambo ambalo ni hatari. Baiskeli hiyo ilikuwa ikitembea huku ikiyumba
kutokana na kuzidiwa uzito jambo lililomfanya dereva huyu muda mwingine
kushuka na kukokota.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)