HALI SASA NI SHWARI MPAKANI MWA TANZANIA NA ZAMBIA TUNDUMA MARA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI KUTANGAZWA NCHINI ZAMBIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

HALI SASA NI SHWARI MPAKANI MWA TANZANIA NA ZAMBIA TUNDUMA MARA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI KUTANGAZWA NCHINI ZAMBIA

3Katikati mwenye koti jeusi diwani wa kata ya Tunduma Mheshimiwa Frank Mwakajoka Baada ya wafanyabiashara kushindwa kufanyabiashara zao na kupelekea kufunga kutokana na vurugu zilizotokea za kupingwa ucheleweshaji wa matokea ya uchaguzi nchini Zambia sasa ni shwari na wananchi wameanza kuvuka mpaka na wafanyabiashara kurejea katika shughuli zao.
1
Baadhi ya wananchi waishio mji mdogo wa Tunduma waliokuwa wamekusanyika sehemu moja baada ya kufungwa kwa biashara zao.
2Madereva wakielekea kukamilisha ushuru wa forodha na kukamilisha taratibu za kuvuka mpaka kuelekea nchini Zambia na Kongo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages