Chama
cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema hakiwezi kuomba radhi
kufuatia madai ya kudhalilishwa na kuvuliwa Hijabu kwa Mkuu wa wilaya ya
Igunga FATMA KIMARO na wafuasi wanaodaiwa kuwa ni wa chama hicho,
kutokana na suala hilo kuwepo mahakamani.
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mshauri wa sheria wa CHADEMA Profesa ABDALAH SAFARI amesema wanasubiri ushahidi utakapothibitisha mahakamani ambapo amewataka Viongozi wa kiislam kuwa na subira badala ya kuwachonganisha waislam na chama hicho.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)