Kikosi Cha Simba Kilichovaana Na Timu Ya Yanga
Kikosi Cha Yanga Kilichovaana na Simba
Mashabiki Wa Simba Wakishangalia kwa nguvu wakati timu yao ikipambana na Yanga
Mchezaji Wa Simba Emmanuel Okwi Akijaribu kutaka Kumpiga chenga Kipa Wa Yanga Shaban Kado
Mchezaji Wa Simba Patrick Mafisango Akipokea kitita cha Shilingi 50000 Kutoka kwa Mkuu wa Masoko Na Mawasiliano Wa Benki ya NMB kwa kuwa Mchezaji Bora Katika Mechi hiyo
Kocha Wa Yanga Akiwa Hajielewi Baada ya Kufungwa Magoli 2 kwa 0
Kocha Wa Simba Akiwa Anasubiri dakika 90 Kama zitaisha Bado wapo mbele kwa magoli 2
Haruna Moshi Boban akiwa chini mara baada ya kujeruhiwa katika mechi hiyo
Sunzu Akipasua Ngome ya Yanga
wachezaji wa simba wakishangilia mara baada ya mechi kuisha na kuibuka washindi
Wachezaji WA Yanga wakimlalamikia Mwamuzi kwa kutoa penati kwa simba
Juma Kaseja akishangilia ushindi wa ngao ya jamii mara baada ya kuwatundika yanga magoli 2 kwa 0
Picha Zote Na Michuzi Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)