Paa likiwa limewaka moto kupitia kiasi ,hapa ni baada ya kuzimwa na gari ya kikosi cha zima moto manispaa ya Iringa
Wananchi wenye hasira kali wakimpa kichapo cha mbwa mwizi kibaka ambaye alikuwa akijaribu kupora mali katika eneo hilo la ajali ya moto
Pia gari hili lilikuwemo ndani ya nyumba hiyo hapa limesukumwa na wasamaria wema kutolewa eneo la moto ,gari hili lilifungiwa ndani ya nyumba yake ambayo ilivunjwa na kikosi cha zima moto ili kunusuru lisiwaka moto
Umati wa wananchi wakiwa katika eneo la tukio usiku huu
Mfanyakazi wa Tanesco akipanda juu ya nguzo kukata umeme ili moto usizidi zaidi
Kwa Habari zaidi <<< BOFYA HAPA >>>
Habari kwa Hisani ya Francis Godwin
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)