Waziri Nundu Afungua Warsha Ya Uboreshaji Wa Hali Ya Hewa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Nundu Afungua Warsha Ya Uboreshaji Wa Hali Ya Hewa

Waziri wa Uchukuzi Omari Nundu, akifungua jana asubuhi warsha ya siku 4 kwa ya utekelezaji na uanzishwaji wa mfumo wa uboreshaji wa huduma za hali ya hewa katika usafiri wa anga. Warsha hiyo uínafanyika Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam na imewashirikisha wadau kutoka nchi nane za Afrika, kusini mwa Jangwa la Sahara.
Baadhi ya wadau wakiwa katika mkutano huo. Picha na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages