Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia Bwana Khamis Abdallah na
mwenzake Mohamed Othman Omari ambao ni walemavu wa viungo muda mfupi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Pemba kwa ziara ya kikazi
ya siku mbili.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)