washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania wafanya ziara Ngorongoro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania wafanya ziara Ngorongoro


Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakicheza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Wasichana ya Enyorrate E.Ngai inayoendeshwa na Masista iliyopo Monduli Juu mkoani Arusha juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo
Ngoma ya Kimasai imenoga

Warembo wanaoshiriki la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakikabidhi msaada wa chakula kwa mlemavu, Nanyakwa Olumindi, anae Hudumiwa katika Kituo cha Huduma ya Walemavu Monduli juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo na kufanya shughuli za kijamii 
Warembo wanaoshiriki la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakimpa ndizi mlemavu, Melkiori Mamasita, anae Hudumiwa katika Kituo cha Huduma ya Walemavu Monduli juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo na kufanya shughuli za kijamii
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Erikisongo iliyopo Wilayani Monduli juzi.
Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika kibao cha Shule ya Wasichana Maasae iliyopo Wilayani Monduli baada ya kutembelea shule hiyo juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiangalia wanyama wakati warembo hao 30 walipotembelea Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro juzi kujionea maajabu mbalimbalimbali yaliyomo katika hifadhi hiyo. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufika katika lango kuu la kuingilia hifadhi ya Bonde la Ngorongoro juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages