Warembo
wanaoshiriki shindano la kumsaka Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa
katika bwawa la Viboko lililopo katika Hifadhi ya Wanyama pori Mikumi
mkoani Morogoro jana wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo
kujionea wanyama aina mbalimbali ikiwa ni sehemu ya ziara yao ya
kutembelea vivutio vya utalii nchini kuhamasisha utalii wa ndani.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)