Mkurugenzi
wa AMREF, Festus Ilako, akihutubia wakati wa ufunguzi wa semina ya
mpango wa kuelimisha Vijana kujua haki yao ya Afya ya Uzazi, Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga (katikati), akizungumza alipokuwa akifungua semina ya siku mbili ya utambulisho kwa vyombo vya habari, Dar es Salaam jana, juu ya haki ya afya ya uzazi kwa vijana nchini.Semina hiyo imeandaliwa na Shirika la Utafiti wa Dawa za Kijamii Afrika (AMREF). Kushoto ni Mkurugenzi wa AMREF, Festus Ilako na Dk. Elizabeth Mapera ambaye ni mratibu uzazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Mratibu
wa Afya ya Uzazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Elizabeth Mapera
akielezea umuhimu wa mipango na sera katika mpango huo kwa vijana.
Sehemu ya wandishi wa habari wakishiriki katika katika semina hiyo
Wanahabari wakishiriki katika semina hiy.Picha Zote na Mdau Richard Mwaikenda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)