Mwili
wa mke wa Mbunge Silima, ukipelekwa kupakizwa kwenye ndege mjini Dodoma
tayari kusafirishwa kwenda kwa mazishi Zanzibar jana.Hata hivyo Mbunge
Mussa Hamisi Silima,(Mumewe) aliyejeruhiwa baada ya kupata ajali juzi
Dodoma, amefariki dunia jana saa tano asubuhi katika Hospitali ya Taifa
ya Muhimbili jijini Dar es Salaam ambako alihamishiwa na kulazwa kwa
ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)