Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania
Bi. Mwamvita Makamba wanne kutoka kushoto na Mkuu wa kitengo cha huduma za
kifedha wa kampuni hiyo Bw. Jacques Voogt kushoto kwake,wakishikana mikono
kuashiria uzinduzi rasmi wa muonekano mpya wa huduma ya Vodacom m-pesa kwa
wateja wake wote nchini ambayo inaendana sambamba na kauli mbiu ya 'Kazi ni
Kwako' kwa kuihusisha huduma hiyo na kazi anazozifanya 'Superman' za uharaka,
usalama, uhakika na utayari wake wa kusaidia jamii wakati wowote ule na mahali
popote pale.
Wafanyakazi mbalimbali wa Vodacom Tanzania wakiwa
kwenye mfano wa vazi analovaa'Superman' wakati wa uzinduzi rasmi wa muonekano
mpya wa huduma ya Vodacom m-pesa kwa wateja wake wote nchini ambayo inaendana
sambamba na kauli mbiu ya 'Kazi ni Kwako' kwa kuihusisha huduma hiyo na kazi
anazozifanya 'Superman' za uharaka, usalama, uhakika na utayari wake wa kusaidia
jamii wakati wowote ule na mahali popote pale.
Afisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania
Bi. Mwamvita Makamba akimsikiliza kwa umakini,Mkuu wa Kitengo cha huduma za
kifedha wa Vodacom Tanzania Jacques Voogt akiongea wakati wa uzinduzi rasmi wa
muonekano mpya wa huduma ya Vodacom m-pesa kwa wateja wake wote nchini ambayo
inaendana sambamba na kauli mbiu ya 'Kazi ni Kwako' kwa kuihusisha huduma hiyo
na kazi anazozifanya 'Superman' za uharaka, usalama, uhakika na utayari wake wa
kusaidia jamii wakati wowote ule na mahali.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye
uzinduzi rasmi wa muonekano mpya wa huduma ya Vodacom m-pesa kwa wateja wake
wote nchini ambayo inaendana sambamba na kauli mbiu ya 'Kazi ni Kwako' kwa
kuihusisha huduma hiyo na kazi anazozifanya 'Superman' za uharaka, usalama,
uhakika na utayari wake wa kusaidia jamii wakati wowote ule na mahali popote
pale.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati wa
uzinduzi rasmi wa muonekano mpya wa huduma ya Vodacom m-pesa kwa wateja wake
wote nchini ambayo inaendana sambamba na kauli mbiu ya 'Kazi ni Kwako' kwa
kuihusisha huduma hiyo na kazi anazozifanya 'Superman' za uharaka, usalama,
uhakika na utayari wake wa kusaidia jamii wakati wowote ule na mahali popote
pale.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)