Taswira Mbalimbali Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Taswira Mbalimbali Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma


WAZIRI wa Ardhi, Nyumba naMaendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka(katikati) akihojiwa na watayarishaji wa kipindi cha daladala (kushoto )ni Danny Kijo na( kulia) ni Christina Mbunda.
WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Profesa Anna Tibaijuka wa pili kutoka (kushoto) akiwa na Naibu wake Goodluck Ole- Medeye wa pili kutoka (kulia) mara baada ya kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka ya wizarayake leo(jana) Bungeni mjini Dodoma jana
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba wa pili kutoka (kushoto)na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti na Utumishi wa Umma,Hawa Ghasia wa pili (kulia) wakizungumza katika viwanja vya Bunge leo(jana) mjini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Vullu wa kwanza(kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum,Zarina Madabida wa kwanza (kulia).Picha na Magreth Kinabp-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages