Msaniii wa Muziki wa Kizazi Kipya BongoFleva Landa
----
Hii ni audio iliyosikika siku ya Jumapili, Agosti 14,
2011 katika kipindi cha Njia Panda na Dk. Isaac Maro akizungumza na
Langa kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya, mapambano aliyomo sasa
katika kuyaacha na mipango ya baadaye ya kupambana na matumizi ya dawa
za kulevya katika harakati za kuiokoa jamii ya Tanzania.Subi|wavuti.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)