SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA HUWENDA LIKAANZA KUTUMIKA MWAKANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA HUWENDA LIKAANZA KUTUMIKA MWAKANI

Soko la Mwanjelwa linaloendelea kujengwa kwa kusuasua huwenda likakamilika mwaka 2012 mwezi  wa nane 
Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu akipata maelezo toka kwa mmoja wa wasimamizi wa ujenzi huo wasoko la mwanjelwa
Hivi ndivyo litakavyoonekana likikamilika 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages