Rais Wa Zanzibar Dr Ali Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Wa Zanzibar Dr Ali Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar, akiwa katika mfululizo wa ratiba zake za kuzungumza na kila Wizara, katika kuhakikisha kila taasisi za wizara hiyo inatekeleza majukumu yake.
Rais wa Zabziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,katika mkutano uliojadili mambo ya utekelezaji wa majukumu ya wizara hiyo ambayo yataweza kukuza uchumi wetu na kuwaletea maendeleo wananchi,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages