Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Vijana wa vikundi mbalimbali vya ushirika kutoka
Pemba na Unguja, wanaokwenda nchini China kwa ajili ya masomo ya Ufugaji wa samaki ambao wanatarajiwa kuwa nchini huko kwa muda wa mwezi mmoja,mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Hawa ni Vijana wa vikundi mbali mbali vya ushirika kutoka Pemba na Unguja, wanaokwenda nchini China kwa ajili ya masomo ya Ufugaji
wa samaki ambao wanatarajiwa kuwa nchini huko kwa muda wa mwezi
mmoja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza
nao Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akiagana na Vijana wa vikundi mbali mbali vya ushirika kutoka
Pemba na Unguja, wanaokwenda nchini China kwa masomo ya Ufugaji
wa samaki ambao wanatarajiwa kuondoka leo,na watakuwa nchini huko kwa
muda wa mwezi mmoja, baada ya kuzungumza nao Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa vikundi mbali mbali vya
ushirika kutoka Pemba na Unguja, wanaokwenda nchini China kwa masomo ya Ufugaji wa samaki,kwa muda wa mwezi mmoja, Ikulu Mjini Zanzibar jana.Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)