Mamia
ya wananchi na waumini wa dini ya kiislamu wakiubeba mwili wa marehemu
Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje Mwembeshauri
Mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la Uzini na mbunge
wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar,
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,(kutoka wanne kushoto) makamo wa Rais
wa jamhuri ya muungasno wa Tanzania Mohamed Gharib Bilali,Mkuu wa Mkoa
wa Kusini Mustafa ibrahim,na Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif,walijumuika na waislamu wengine kwa kuusalia mwili wa
marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje
Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la
Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar,
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein aksalimiana na wanafamilia wa
marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje
Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la
Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la
marehemu Mussa Khamis Silima aliyezikwa jana kijijini kwao Kiboje
Mwembeshauri mkoa Kusini Unguja,marehemu alikuwa mwakili wa jimbo la
Uzini na mbunge wa kuteuliwa na baraza lla Wawakilishi Zanzibar,(Picha
na Ramadhan Othman IKulu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)