Waziri Mstaafu, Edward Lowassa, akiweka
udongo katika kaburi la aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini,
marehemu Mussa Hamis Silima, wakati wa maziko yaliyofanyika Kijiji cha
Kiboje Wilaya ya kati Unguja leo Agosti 24.
Kiongozi
wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, akiweka udongo katika
kaburi la aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Hamis
Silima, wakati wa maziko yaliyofanyika Kijiji cha Kiboje Wilaya ya kati
Unguja leo Agosti 24.
Mwenyekiti wa Makati ya Bunge ya kudumu ya Heshabu za Mashirika ya
Umma, Zitto Kabwe, akiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Mwakilishi
wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Hamis Silima, wakati wa maziko
yaliyofanyika Kijiji cha Kiboje Wilaya ya kati Unguja leo Agosti 24.
Rais wa Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal,Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif na Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Lowassa,Mbunge wa Bumbuli na Mwenyekiti wa Kamati ya
nishati na madini January Makambawakiwa katika shughuli ya mazikonya
aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini, marehemu Mussa Silima. Maziko
hayo yamefanyika leo Agosti 24 katika Kijiji cha Kiboje Wilaya ya Kati
Unguja.Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)