Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa zawadi kwa baadhi ya watoto yatima alofuturu nao jana jioni ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake za mwezi mtukufu wa
Ramadhani, kwa baadhi ya watoto yatima aliowaalika ikulu jijini Dar es
Salaam jana jioni kwa ajili ya hafla fupi ya futuru.
Rais
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimhudumia mmoja ya watoto yatima aliowaalika
katika futari ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.Rais Kikwete jana
jioni alifuturu na baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika vituo
mbalimbali jijini Dar es Salaam.Picha na Fredy Maro







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)