NANI KASEMA DAR TU NDIO KUNA SHIDA YA USAFIRI HATA DODOMA PIA KUNA SHIDA YA USAFIRI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NANI KASEMA DAR TU NDIO KUNA SHIDA YA USAFIRI HATA DODOMA PIA KUNA SHIDA YA USAFIRI

 Wakazi Wa Mkoa Wa Dodoma Wakiwa Wanasubiri Kwa Hamu Daladala Zinazofanya Shughuli zake kati ya Dodoma Mjini Na Nzunguni Kwenye Viwanja Vya Nanenae kwaajili ya kwenda kwenye maonyesho ya Nanenane yanayofanyika Mkoani dodoma
Baada ya Usafiri Kuwa Ni Wa tabu wakuelekea Katika Viwanja Vya Maonyesho ya nanenane Mkoani Dodoma Kamera yangu ilimnasa kijana mtanashati tu akipita dirishani kwa lengo la kuwa nafasi ya kukaa kwenye daladala hilo.Kijana Huyo Alileta mchezo ambao ulikua ukifanywa na wakazi wa mbagala jijini Dar es salaam Wakati wa shida ya usafiri wa kuelekea Makwao.
Picha Zote na JOSEPHAT LUKAZA

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages