usiku katika ukumbi wa Meeda Club, Sinza
jijini Dar es Salaam. Bendi hii maarufu ya Muzik wa Dansi
inayoongozwa na mwanamuziki nguli wa miondoko hiyo, Ally Choki, aka Mzee
wa Farasi, Kibabu cha Loliondo, kwa mpangilio maalumu wa safu ya
waimbaji nyota, Banza Stone, Rogati Hega Katapila na waimbaji wengine
watatoa burudani 'kukata na shoka' silku ya Idd Mosi katika ukumbi
Meeda Sinza, Dar es Salaam. Nyote MnakaribÃshwa.Picha zote na Victor
Makinda
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)