Mabondia,makocha pamoja na
viongozi wa mchezo wa ngumi nchini wakiangalia DVD zinazotahalishwa na
Kocha wa mchezo wa ngumi timu ya Ashanti na Timu ya Mkoa wa Ilala
kimichezo, Rajabu Mhamila 'Super D' ayupo pichani ambazo zinafundisha
mafunzo ya mchezo huo kabla ya kuondoka kwenda Msumbiji kushirika
Mashindano ya 'ALL AFRICA GAME' yatakayoanza mapema wezi ujao timu hiyo
ni ya kwanza kwa Tanzania kuondoka leo.Picha na superd
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)