Kamishna
Mkuu wa Uhamiaji Tanzania,Mgnus Ulungi (kushoto) akizungumza na
Mkurugenzi wa Uhamiaji Rwanda Kalibata Anaclet(Katikati)kuhusu masuala
mbali ya uhamiaji wakati mkurugenzi huyo aliptembelea Makao Makuu ya
Idara ya Uhamiaji,Kurasini,Dar es Salaam jana.Picha na Uhamiaji
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)