Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akifuatana na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dk Ishaya Samaila
Majanbu,alipofika Ikulu Mjini Zanzinar,kuonana na Rais
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dk Ishaya
Samaila Majanbu,alipofika Ikulu Mjini Zanzinar,kuonana na Rais
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali
MohamedShein,akizungumza na Balozi wa Nigeria nchini Tanzania Dk Ishaya
Samaila Majanbu,alipofika Ikulu Mjini Zanzinar,kuonana na Rais.Picha na
Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)