Mjumbe Wa Nyumba Kumi Akitimiza Wajibu Wake - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mjumbe Wa Nyumba Kumi Akitimiza Wajibu Wake


Mjumbe wa nyumba kumi Sinza B,Ruth Manfred(71)akiandika jina na saini  yake kwenye karatasi ambalowajumbe walihudhuria kusuluhisha fumanizi hiyowaliandika majina yao na kutia saini kumaliza mzozo.Kushoto ni mmoja wa wajumbe hao akimmulikia  kwa tochi ya simu.
Picha na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages