MASHINDANO YA GOFU WANAWAKE YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI YAANZA KATIKA VIWANJA VYA LUGALO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MASHINDANO YA GOFU WANAWAKE YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI YAANZA KATIKA VIWANJA VYA LUGALO

Nahodha wa gofu wa timu ya Uganda akipandisha bendera ya taifa ya Uganda wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati.
Nahodha wa gofu wa timu ya Tanzania akipandisha bendera wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati.
Nahodha wa Kenya akipandisha bendera ya taifa ya Kenya.   
Nahodha wa timu ya gofu kutoka Zambia akipandisha bendera ya taifa ya  Zambia
Mkuu wa Majeshi mstaafu, George Waitara akipiga mpira kufungua Mashindano ya Gofu ya Wanawake ya Afrika Mashariki na Kati yanayoshirikisha nchi za Kenya , Uganda, Zambia na wenyeji wa mashindano Tanzania ambapo mashindano hayo yatafungwa Agosti 18  mwaka huu. Picha na Mdau Jane John

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages