URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Freddy Macha walipata fursa ya
kupitia mji wa Tottenham uliopo katika jiji la london ili kujionea kwa
macho hali ilivyo kwa sasa. Program hii imerekodiwa kwa kutumia Simu ya
mkononi,
Asanteni.
URBAN PULSE CREATIVE
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)