Mtaalamu wa
Maabara wa Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji Nchini
(EWURA), Jackson Makaya akiweka lakiri kwenye pampu ya kituo cha mafuta
cha Total kukifungia kwa muda kilipobainika kuuza mafuta kwa bei tofauti
na bei elekezi ya mamlaka hiyo katika barabara ya Sam Nujoma Dar es
Salaam. (Picha na Robert Okanda).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)