Makamu
wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais Mstaafu wa
awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Diamondi
Jubilee jijini Dar es Salaam, leo Agosti 21 wakifuatilia kwa makini
fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an.
Mshiriki
kutoka Tanzania, Ibrahim Ramadhan, akishiriki fainali za mashindano
hayo katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam leo.
Mshiriki
wa mashindano ya kuhifadhi Qur-an, ambaye alishika nafasi ya tatu
katika mashindano hayo, Mohammad Sad Tawfiq, kutoka Egypt
Makamu
wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma Hotuba yake
wakati wa fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an.
Makamu wa Rais Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi.
Makamu
wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu
ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya Viongozi wa dini ya Kiislamu,
wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa kwanza hadi wa tatu wa
fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur-an, baada ya kutangazwa washindi
hao katika ukumbi wa Diamond Jubilee leo Agosti 21.
Makamu
wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu
ya pili, Ali Hassan Mwinyi na baadhi ya Viongozi wa dini ya Kiislamu,
wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa fainali za mashindano ya
kuhifadhi Qur-an,Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)