Mashabiki wa Simba wakionyesha ishara ya magoli watakayowafunga watani wao wa jadi usiku huu ndani ya uwanja wa taifa
Mashabiki wa Yanga wakiwa wamebeba bendera yao usiku huu kabla ya mechi dhidi yao na watani wao wa jadi simba katika mchezo wa ngao ya hisani usiku huu ndani ya uwanja wa taifa.Picha zote Na Michuzi Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)