BREAKING NEWS: SIMBA 2 YANGA 0 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWS: SIMBA 2 YANGA 0

Mpaka sasa timu ya simba inaongoza kwa kuwafunga watani wao wa jadi magoli 2 kwa sifuri na mpira hivi sasa ni mapumziko. Dakika 45 za kwanza zimeshakwisha na Simba ipo mbele kwa magoli 2 kwa 0

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages