KITOWEO CHA RAMADHANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KITOWEO CHA RAMADHANI

Kondakta wa daladala 'Chai Maharage', akishusha mzigo wa samaki nje ya soko Kuu la mjini Zanzibar leo, pamoja na samaki kupatikana kwa wingi mjini hapa lakini bado bei ya samaki imekuwa juu tofauti za siku za nyuma.Picha Na Sufiani Mafoto

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages