Airtel
yadhamini mkutano maalum wa mainjinia UDSM Afisa uhusiano wa Airtel ,
Jane matinde (kulia) akikabidhi mfano wa cheque yenye thamani ya
shilling millon tano kwa Naibu mkuu wa chuo cha uhandisi na technologia
UDSM prof. Felix Mtalo kwa lengo la kuchangia seminar maalumu
iliyoandaliwa kwaajili ya kusherehekea miaka 50 ya chuo kikuu cha Dar es
salam itakayofanyika tarehe 10 hadi 11 Augasti 2011. Kushoto ni
mwenyekiti kamati maandalizi ya kongamano Dr. Juma Mohamed.Habari na Picha Kwa Hisani Ya Father Kidevu Blogu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)