Mwenyekiti wa CPA Tanzania Mhe. Azzan Musa Zungu akiendesha Kikao cha
Kamati Tendaji ya Tawi mjini Dodoma leo.. Kushoto kwake ni Makamu wa
Rais wa CPA Mhe. Job Ngugai na Mhe. Abdulkadir Shah (Mjumbe). Kulia ni
Ofisa wa Dawati la CPA Bw. Saidi Yakubu na Mhe. Vita Kawawa (Mjumbe)
Picha na Prosper Minja-Bunge
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)